×

Simba Queens wamtambulisha Mrithi wa Mgunda

Uongozi wa Klabu ya Simba SC imemtambulisha Yussif Basigi kuwa Kocha mkuu ndani ya kikosi cha Simba Queens ambacho kilikuwa kikinolewa na kocha Juma Mgunda ambaye alipewa mkono wa kwaheri.

Leave a Comment