Msanini wa muziki wa Hophop hapa nchini, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ leo, Ijumaa Septemba 26, 2024 ametinga kwenye ofisi za Basata kwa ajili ya kuitikia wito wa Baraza hilo kufuatia wimbo wake wa ‘Nitasema’ aliouachia hivi karibuni
Akiwa ameongozana na Wakili wake Jebra Kambole, msanii huyo amezungumza na wanahabari kuhusiana na kile kilichojitokeza