×

Rais Dkt. Samia Asomewa Dua katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Ruvuma

Rais Samia akishukuru mara baada ya kusomewa Dua katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma leo  Septemba 27, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan asomewa Dua katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma leo tarehe 27 Septemba, 2024.

Leave a Comment