×

Ally Kamwe: Mechi ya Dabi ya Oktoba 19, Haiwezi Kuwamua Ubingwa – Video


Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema mechi ya dabi dhidi ya mtani wao Simba SC itakayochezwa Oktoba 19, 2024 haiwezi kuwamua bingwa wa msimu huu.

Kamwe ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2024 katika hafla maalumu ya waandishi wa Habari (Media Day).

Leave a Comment