×

Askofu Amvunja Mbavu Rais Samia – ”Unasema Hatujaendelea, Kamuulize Mama Yako, Atakuhadithia” – Video

Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati J.K Nyerere leo Oktoba 14, 2024 katika Kanisa la Mt. Francis Xavier Nyakahoja, Mwanza.

Katika Misa hiyo, Askofu aliyeongoza alieleza mengi kuhusu maendeleo ya taifa jumla na historia ya maisha Tanzania ilipotoka mpaka sasa, na ameongezea kwa kusema kuwa kama unaona Tanzania haijaendelea basi kamuulize mama yako akuhadithie yaliyopita nyakati za nyuma.

Leave a Comment