Rais Samia Azungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Zuhura Yunus
Global Publishers October 14, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, jijini Mwanza leo kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge leo Oktoba 14,2024. Katikati ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Petrobas Katambi.