


Mwili wa marehemu Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge umeagwa Jana Oktoba 15, 2024 nyumbani kwake Tabata Segerea ukiongozwa na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Salum Haji Othman.
Mwili wa marehemu, Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge unatarajiwa kuagwa kijeshi leo Oktoba 16 katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo, na baadae utasafirishwa kuelekea mkoani Mara kwaajili ya kufanyiwa mazishi tarehe 17 Oktoba.
MTOTO wa JENERALI MBUGE ALIVYOTAKA KUGUSA MWILI wa BABA’AKE KWENYE JENEZA – WANAJESHI WAWAHI KUMTOA