×

Amsons Group Yanunua kiwanda cha Mbeya Cement na Kiwanda cha Bamburi Cement nchini Kenya

KAMPUNI ya Amsons Group hivi karibuni ilinunua kiwanda cha Mbeya Cement na kiwanda cha Bamburi Cement nchini Kenya kwa zaidi ya bilioni 800 za Kitanzania.

Pia imewekeza bilioni 850 za Kitanzania kujenga kiwanda cha klinka na saruji huko Tanga na kupanua kiwanda cha Mbeya, vyote vyenye uwezo wa kuzalisha tani 5,000 kwa siku.

Mkurugenzi Mtendaji, Edha Nahdi, ameishukuru serikali ya Tanzania kwa kuweka mazingira bora kwa wawekezaji. Uwekezaji huu unatarajiwa kuongeza uzalishaji wa saruji, kushusha bei, kuongeza ajira, mapato ya serikali, na gawio kwa wanahisa.

JENERALI MKUNDA – CHALAMILA na WAZIRI TAX WALIVYOFIKA KUUAGA MWILI wa JENERALI MBUGE LUGALO

Leave a Comment