×

Tuzo Za CAF Kutolewa Desemba 16

Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika, CAF, linatarajia kufanya hafla za utoaji wa tuzo mbalimbali kwa vilabu na wachezaji wa Kiafrika ifikapo Disemba 16, 2024 zitakazofanyika Jiji la kitalii la Marrakech, nchini Morocco.

Hafla hiyo itahusisha ugawaji wa tuzo mbalimbali ikiwemo mchezaji bora wa Afrika anaecheza ligi za ndani, mchezaji bora Afrika anaecheza nje ya bara la Afrika, klabu bora ya mwaka ya Afrika pamoja na tuzo nyinginezo.

Leave a Comment