×

Kithure Kindiki kuapishwa kuwa Naibu Rais wa Kenya leo

Mahakama kuu nchini Kenya imeondoa amri iliyokuwa imewekwa kuzuia kuapishwa kwa Prof Kithure Kindiki kama naibu rais wa Kenya.

Kithure Kindiki anaapishwa kuwa Naibu Rais mpya leo tarehe 1, Novemba 2024.

Hafla ya kuapishwa itafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta (KICC) jijini Nairobi kuanzia saa 10 asubuhi.

Hii inakuja Naibu Rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua alipata pigo baada ya Mahakama ya rufaa ya Kenya kukataa kutoa maagizo ya kuizuia Mahakama kuu kuendelea na kesi ya kuondolewa madarakani.

ROSE DADA ALIYEZAMA PENZINI na MZUNGU AKASALITIWA VIBAYA – ”ALINIBLOKU – ALISEMA AMEFIWA NA MAMA”

Leave a Comment