Enzi za Uhai wa Mwanamuziki Mkongwe wa Dansi Boniface Kikumbi maarufu King KiKii, GLOBAL TV ilifanya naye mahojiano na kusimulia historia yake ya maisha tangu alipozaliwa na mpaka alipoanza Sanaa ya Muziki, King KiKii alieleza kuwa alianza Muziki akiwa na umri wa miaka 14.