×

Rais Samia Alivyowasili kwa Treni ya SGR Mkoani Morogoro (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyowasili katika Stesheni ya Jakaya Kikwete Mkoani Morogoro ambapo alisafiri kwa Treni ya SGR kutokea Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Novemba, 2024.

Leave a Comment