
Dar es Salaam 6 Desemba 2024: Msanii na mwanadada mrembo Char4Prezyy jana usiku ametua Bongo akitokea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kupaform kwenye nafasi ya Udj katika tamasha la Bata la Disemba linaloendelea katika Viwanja vya Leaders jijini Dar
Char4Prezzy ambaye pamoja na kupaform kama DJ ana ngoma zake kali zilizomuongezea umaafuru kwenye tasnia ya burudani.
Tamasha lililoanza jana Ijumaa linatarajiwa kuendelea mpaka kesho Jumapili ambapo mwanahabari wetu aliwashuhudia wapendea bata wakifanya yao kwa kula na kunywa kwenye viwanja hivyo vilivyojaa burudani na raha kibao. HABARI/PICHA NA RICHARD BUKOS/ GLOBAL PUBLISHERS



