×

Rais Samia Afanya Uteuzi na Mabadiliko ya Mawaziri, Manaibu na Mabalozi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akichukua nafasi ya Mhandisi Hamad Yusuf Masauni ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Bashungwa alikuwa Waziri wa Ujenzi kabla ya uteuzi huu.

Leave a Comment