RAIS wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Mohamed Yakub Janabi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba ambapo pamoja na uteuzi huu, Profesa Janabi ataendelea kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.