×

Tundu Lissu Atangaza Kuchukua Nafasi Ya Mbowe Chadema – Video

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu ametangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho, nafasi ambayo kwa sasa inashikiliwa na Freeman Mbowe.

Lissu ametangaza nia hiyo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment