×

Martha Mwaipaja: Unanipenda, unayetamani Niishi, Niombee Sana

Staa wa muziki wa Gospel, Martha Mwaipaja

Staa wa muziki wa Gospel, Martha Mwaipaja ambaye katika siku za hivi karibuni amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya kifamilia kati yake, mdogo wake, Breatice Mwaipaja na mama yake mzazi, kupitia kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii, ametupia ujumbe maalum kwa watu wanaompenda.

Martha anasikika kwenye video hiyo akiwaomba watu wanaompenda, wanaomtakia mema na wanaotaka aendelee kuishi, wamuombee kwani anapitia kipindi kigumu mno kwenye Maisha yake.

Leave a Comment