Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Biteko Ahutubia Wananchi Wa Bukombe Sherehe za Kuupokea Mwaka Mpya 2025
Global Publishers January 1, 2025 0 Comments
SHARE THIS:
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akihutubia wananchi waliojitokeza katika sherehe za kuupokea Mwaka Mpya wa 2025. Sherehe hizo zimefanyika Januari 1, 2025 nyumbani kwa Mhe. Doto Biteko Kijiji cha Bulangwa wilayani Bukombe Mkoa wa Geita
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahutubia wananchi waliojitokeza katika sherehe za kuupokea Mwaka Mpya wa 2025. Sherehe hizo ambazo zimefanyika leo Januari 1, 2025 nyumbani kwa Mhe. Doto Biteko Kijiji cha Bulangwa wilayani Bukombe Mkoa wa Geita
Sehemu ya Wananchi waliojitokeza kwenye shamrashamra za kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2025 wakisoma Jarida la Bukombe “Kusema na Kutenda”. Hafla hiyo imefanyika Januari 1, 2025 katika Kijiji cha Bulangwa wilayani Bukombe Mkoa wa Geita