
Mmiliki wa Timu za Alliance FC na Alliance Girls za jijini Mwanza, James Bwire amefariki dunia usiku wa jana, Januari 25, 2025 majira ya saa 4 usiku katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa matibabu.
Swipe kusoma taarifa ya uongozi wa Alliance Sports Academy iliyotolewa leo, Januari 26, 2025.