×

AFCON 2025: Taifa Stars Yapangwa Kundi C na Nigeria, Tunisia na Uganda

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepangwa kwenye Kundi C kwenye droo ya makundi ya kombe la Mataifa Afrika iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mohammed V uliopo Rabat jijini Morocco. Stars imepangwa Kundi c sambamba na Nigeria, Tunisia na Uganda.

Makundi ya AFCON 2025 itakayofanyika kuanzia Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026 ni kama ifuatavyo:

Group A: Morocco, Mali, Zambia, Comoros

Group B: Egypt, South Africa, Angola, Zimbabwe

Group C: Nigeria, Tunisia, Uganda, Tanzania

Group D: Senegal, DR Congo, Benin, Botswana

Group E: Burkina Faso, Equatorial Guinea, Sudan

Group F: Ivory Coast, Cameroon, Gabon, Mozambique

 

Leave a Comment