Naitwa Amani kutokea Babati, unajua hakuna kitu kibaya maishani kama kudhulumu mali ambayo sio yako, kuna watu mikosi haiondoki katika maisha yao kutokana na dhuluma walizozifanya huko nyuma.
Nasema hivyo kwa sababu baba yetu aliamua kununua magari mawili kwa ajili ya watoto wake ili hapo baadaye tusije kuteseka katika maisha, haya magari ni mabasi kwa ajili ya usafiri na kila mmoja alipewa lake.
Mimi niliamua kukodisha basi langu wakati naendelea na masomo na fedha niliyopata nilikuwa nalipia ada ya chuo na matumizi mengine, dereva niliyempa gari langu alikuwa mwaminifu, kila mwisho wa wiki alinitumia fedha yangu kama tulivyokubaliana.
Sasa baada ya kumaliza chuo nilitaka kuchukua basi langu, hivyo nilimpaa taarifa hiyo, cha kusikitisha ni kwamba alikataa na kudai basi lile ni lake na kwamba nilimkodisha kwa makubaliano ya kumuuzia akifikisha kiwango fulani cha fedha.
Kubwa zaidi nilishangaa sana pale alipoamua kutoa nyaraka kuwa anamiliki basi lile, ugomvi ulikuwa mkubwa hadi baba yangu alikuja lakini bado aliendelea kushikilia msimamo wake kuwa gari ni mali yake.
Binafsi nilitaka kwenda mahakamani kufungua kesi, lakini rafiki yangu mmoja Leonard aliniambia kuna mtu mmoja anaitwa Kiwanga Doctors anaweza kunisaidia na kupata mali yangu bila kusumbuka sana.
Leonard alinipa mawasiliano ya Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya na kuniambia niwasiliane naye mara moja, nilimpigia na kueleza shida yangu hiyo iliyokuwa inanisumbua, aliniambia nisijali kwani ndani ya siku chache mwenyewe atarudisha gari langu maana ameshafanya dawa.
Baada ya siku chache, yule dereva alinipigia simu akiwa hoi kitandani hata kuzungumza kwake ilikuwa kwa shida sana, aliniomba msamaha sana na kuniambia nikachuke gari langu. Nami nilienda nikachukua gari na kuweza kuendelea na biashara zangu na sasa nimepiga hatua kubwa kimaendeleo.
Tukio hilo ni la miaka mitano iliyopita, nimelikumbuka na kuandika stori yake hapa kwa sababu yule dereva hivi karibuni kanipigia simu na kusema tangu wakati ule kila akipata gari aendeshe kwa ajili ya biashara anapata ajali, anaona kama imekuwa ni mkosi kwake.
Aliomba msamaha kwa mara ya pili na kuniambia nimuondolee mkosi huo, mimi nilichofanya ni kumpatia namba ya Kiwanga Doctors na kumtaka awasiliane naye na kumueleza changamoto yake.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.