×

#Mwisho: Simulizi Ya Kweli Ya Hamis Aliyemuua Mkewe, Jaji Alivyotoa Hukumu Ya Kifo Kwa Mshitakiwa – Video


Hii ni simulizi ya sakata zima la tukio la Said Luwongo kumuua mkewe, Naomi Marijani kisha kuuchoma mwili wake na kwenda kufukia majivu shambani!

Global TV imekuandalia mtiririko wa matukio, kuanzia mwanzo mpaka mwisho na hapa, hii ni sehemu ya sita ambayo ni maelezo aliyoyatoa Said kwenye kiapo cha onyo, jinsi alivyozoa majivu na kuyapakia kwenye gari kisha kwenda kuyafukia shambani.

Said anaeleza kwamba ili kupoteza kabisa ushahidi, aliamua kufukia shimo alilomchomea mkewe kwa kifusi kisha kusakafia eneo hilo.