×

Shamsa: Hakuna mtu Anayemfikia Mumewe Wangu – Video

Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford akiwa na mume wake.

Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema hakuna mtu anayemfikia mumewe kwenye suala zima la uigizaji nchini na kuongeza kuwa yeye ni shabiki yake namba moja.

Shamsa ameyasema hayo na mengine mengi katika mahojiano maalum na Global TV!