×

Msimu Wa Pasaka Ni Msimu Wa Tabasamu La Zawadi Na Mchezo Supa

Kuelekea msimu wa sikukuu za Pasaka ambazo zinatarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki ijayo, Mchezo Supa imetangaza Kampeni mpya ya kutoa tabasamu kwa kutoa zawadi mbalimbali.

Katika kampeni hiyo mpya washindi wanatarajiwa kujishindia zawadi za fedha taslimu, vifaa vya kielectroniki, pikipiki Pamoja na zawadi kubwa ya gari aina ya Toyota IST.

Katika mfululizo wa Kampeni hiyo siku ya sikukuu ya Pasaka zaidi ya Shilingi Milioni 20 zitatolewa kwa mamilionea 10 watakaobahatika kushinda.

Pamoja na ushindi huo upo ushindani wa kila siku za wiki ambao unawapa watu nafasi ya kushinda mamilioni ambapo zaidi ya shilingi Milioni 100 zitatolewa kwa washindi.

MSHINDI WA SUPA DABODABO AFUNGUKIA USHINDI WAKE

Katika kuthibitisha juu ya uhalisia wa Kampeni za mchezo supa, Nuhu Masebo mkazi wa Dar es Salaam ambaye alijishindia pikipiki kupitia Kampeni ya SUPA DABODABO amesema: “Watu wengi wanashiriki na kushinda, nilivutiwa na hilo nami nikaona nijaribu kucheza.

“Nimefanikiwa kushinda bodaboda ambapo imenisaidia kuongeza kipato katika mihangaiko yangu.”

Unaweza kushiriki mchezo supa na kushinda zawadi mbalimbali Kwa kucheza kupitia mitandao yote lipa Kwenda Namba ya Kampuni 222223 Kumbukumbu namba ni 777.

Kumbuka vigezo na masharti kuzingatiwa na ushiriki ni kwa mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea