
Sadio Mané ameendelea kuthibitisha ubora wake baada ya kuibuka shujaa kwa Senegal, akifunga magoli mawili muhimu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Mauritania, uliowapeleka “Lions of Teranga” moja kwa moja kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026 Hadi Sasa
🇪🇺 Mwenyeji
-
🇨🇦 Canada
-
🇲🇽 Mexico
-
🇺🇸 United States
🌏 Asia (AFC)
-
🇯🇵 Japan
-
🇮🇷 Iran
-
🇰🇷 South Korea
-
🇦🇺 Australia
-
🇯🇴 Jordan
-
🇺🇿 Uzbekistan
🌍 Afrika (CAF)
-
🇲🇦 Morocco
-
🇹🇳 Tunisia
-
🇩🇿 Algeria
-
🇪🇬 Egypt
-
🇬🇭 Ghana
-
🇨🇻 Cape Verde
-
🇿🇦 South Africa
- Ivory Coast
🌎 Amerika Kusini (CONMEBOL)
-
🇦🇷 Argentina
-
🇧🇷 Brazil
-
🇺🇾 Uruguay
-
🇨🇴 Colombia
-
🇪🇨 Ecuador
-
🇵🇾 Paraguay
🌏 Oceania (OFC)
-
🇳🇿 New Zealand
⚽ Jumla hadi sasa:
🟢 23 timu zimefuzu rasmi kati ya 48 zitakazoshiriki Kombe la Dunia 2026.