Chuo Kikuu cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE), ambacho ni Chuo Kishiriki cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kimetangaza nafasi 21 za ajira kwa Watanzania wenye sifa stahiki katika kada za Wahadhiri Wasaidizi (Assistant Lecturers), Wasaidizi wa Mafunzo (Tutorial Assistants) pamoja na Wasaidizi wa Maktaba (Assistant Librarians).
Kwa mujibu wa tangazo hilo la ajira lililotolewa Januari 02, 2026, DUCE inalenga kuongeza nguvu kazi ili kuboresha ufundishaji, utafiti na utoaji wa huduma kwa jamii, sambamba na majukumu yake yaliyoainishwa katika Mkataba na Kanuni za Chuo.
Soma zaidi hapa chini
NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM (DUCE)
NAFASI ZILIZOPO
Assistant Lecturer (PUTS 2.1)
-
Physics
-
Computer Science
-
Molecular Biology
-
Political Science & Public Administration
-
Accounting
-
Physics Teaching Methods
-
Early Childhood Education
-
Assistant Librarian (Cataloguing & Classification)
-
Assistant Librarian (Information Systems / IT)
Tutorial Assistant (PUTS 1.1)
-
Economics & Statistics (2)
-
Political Science & Public Administration (2)
-
Accounting
-
Computer Science
-
Mathematics
-
Molecular Biology & Bioinformatics
-
Literature Teaching Methods
-
Economics Teaching Methods
-
Early Childhood Education
Jumla ya nafasi: 21
SIFA KUU ZA MWOMBAJI
-
Awe raia wa Tanzania, umri usiopungua miaka 18 na usiozidi 45
-
GPA ya angalau 4.0 (Masters) na 3.8 (Bachelor) kwa Assistant Lecturer
-
GPA ya angalau 3.8 (Bachelor) kwa Tutorial Assistant
-
Daraja la B+ au zaidi kwenye masomo husika
-
Awe na vyeti halali vilivyothibitishwa (TCU/NECTA/NACTE kwa waliokulia nje)
NYARAKA MUHIMU
-
Barua ya maombi (Kiswahili au Kiingereza)
-
CV ya kisasa
-
Vyeti vya taaluma na transcripts
-
Cheti cha kuzaliwa
-
Picha ya Passport size
-
Majina ya waamuzi (Referees) 3
NAMNA YA KUOMBA
📍 Maombi yote yafanywe kupitia Ajira Portal pekee:
👉 http://portal.ajira.go.tz
⛔ Maombi ya mkono au barua pepe hayatakubaliwa
⏰ MWISHO WA KUOMBA
📅 20 Januari 2026
NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM (DUCE)

