The House of Social Media
gunners X

Mwili wa Marehemu Halima Nassor Ulivyofikishwa Nyumbani Kwake, Kigamboni

0

 

Jeneza lenye mwili wa Marehemu Halima Nassor

Na Bakari H. Mahundu

Mwili wa Marehemu Halima Idd Nassor ulivyofikishwa nyumbani kwake Kibada, Kigamboni Dar es Salaam kwaajili ya dua maalumu nyumbani hapo kabla ya kuzikwa leo Januari 18, 2026 saa 10 jioni katika makaburi ya Kibada kwa Dole Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Waombolezaji kwenye msiba wa Marehemu Halima Nassor

Marehemu Halima Idd Nassor amefariki dunia leo Januari 18, 2026 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Waombelezaji mbalimbali wakiwemo viongozi wa Kiserikali wamewasili Kibada, Kigamboni Dar es Salaam nyumbani kwa Marehemu Mheshimiwa Halima Idd Nassor kutoa pole na kufariji ndugu na familia ya Halima.

Picha ya Marehemu Halima Nassor

Leave A Reply