×

Video: Rais Samia Azindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo, Dodoma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, tarehe 24 Februari 2026 amezindua rasmi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa katika eneo la Kikombo, mkoani Dodoma.

Uzinduzi huo unaashiria hatua muhimu katika kuimarisha miundombinu ya ulinzi na usalama wa taifa, sambamba na kuendeleza azma ya Serikali ya kuhamishia shughuli zake kuu katika mji mkuu wa Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.

Leave a Comment