×

#Live Kanisani: Ibada Ya Kuaga Mwili Wa Ssebo Parokia ya Mtakatifu Martha Mikocheni

Misa ya kuombea mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM Tanzania na TVE Tanzania, marehemu Dennis Busulwa almaarufu Ssebo, inafanyika katika Parokia ya Mtakatifu Martha Mikocheni B jijini Dar es Salaam leo Machi 14, 2026.

Awali shughuli hiyo ilikuwa imepangwa kufanyika katika Viwanja vya Posta (TTCL Grounds) Kijitonyama, lakini imehamishiwa kanisani hapo kufuatia hali mbaya ya hewa iliyojitokeza leo jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment