×

Furahia Ijumaa kwa Zawadi Kutoka Meridianbet Kupitia Lucky Friday

Kama unatafuta sababu ya kusubiri Ijumaa kwa hamu, basi hii ndiyo nafasi yako. Meridianbet imekuja na promosheni kali iitwayo Lucky Friday, inayokupa motisha mpya ya kucheza huku ukijihakikishia faida hata pale mambo hayajaenda kama ulivyotarajia. Hii siyo tu ofa, ni njia mpya ya kufurahia wikiendi yako kwa mtindo wa kipekee.

Ni rahisi sana kushiriki, cheza namba zako uzipendazo kwenye michezo ya Lucky 6 au Keno siku ya Ijumaa, kisha ukae tayari kupokea zawadi yako siku ya Jumamosi. Meridianbet wanakupa gawio la 10% ya kiasi chote ulichotumia, wakihakikisha kuwa kila dau lako lina thamani zaidi.

Vilevile, Michezo mingi zaidi ya kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa kupiga *149*10#.

Uzuri wa ofa hii ni kwamba haina masharti magumu. Kwa tiketi ya kuanzia TZS 500 tu, kila mtu anaweza kushiriki na kujaribu bahati yake. Iwe wewe ni mchezaji wa kawaida au bingwa wa muda mrefu, Lucky Friday imeundwa kukupa nafasi sawa ya kushinda na kufurahia mchezo.

Na kama hiyo haitoshi, kuna bonasi ya kuvutia zaidi, unaweza kupata hadi TZS 25,000 kila wikiendi. Gawio lako litahesabiwa kwa 10% ya hasara zako zote ndani ya kipindi cha wikiendi, hivyo hata usiposhinda, bado unarudi mchezoni ukiwa na nguvu mpya.

Usiruhusu Ijumaa ipite bila kuchukua hatua. Ingia Meridianbet sasa, chagua Lucky 6 au Keno, na uifanye wikiendi yako iwe ya tofauti. Lucky Friday ni zaidi ya ofa, ni tiketi yako ya kuelekea ushindi.

Leave a Comment