×

Tunawatakia Pasaka Yenye Tabasamu na Baraka Wasomaji Wetu

Uongozi na wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd wanawatakia wasomaji wetu wote heri njema ya Sikukuu ya Pasaka. Tunaushukuru uungwaji mkono wenu na tunawaomba muendelee kutembelea mtandao wetu kwa habari na maudhui bora zaidi. Mungu awabariki sana.

Leave a Comment