Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefunga Kongamano la Muungano lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi, lililofanyika Tunguu, Zanzibar.