×

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Dar – Picha

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha siku mbili cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kinachofanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia Jumanne, tarehe 28 Aprili 2026.

Kikao hicho kinaendelea kujadili masuala mbalimbali ya chama pamoja na mwelekeo wa kisiasa na kiutendaji wa CCM katika ngazi ya taifa.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha siku mbili cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kinachokutana Jijini Dar Es Salaam leo Jumanne tarehe 28 Aprili, 2026.

Leave a Comment