
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amehoji hatma ya vifurushi vya huduma za mawasiliano ambavyo havijatumika, akiuliza vinaelekea wapi baada ya muda wake wa matumizi kumalizika.
Shigongo ameibua hoja hiyo akihoji uwazi wa mfumo wa vifurushi hivyo, hasa kwa wateja wanaonunua huduma lakini hawavitumii hadi muda wake kuisha.