Wafanyabiashara wengi wa huduma za miamala ya simu, maarufu kama mawakala, ni miongoni mwa watu wanaotapeliwa fedha nyingi kila kukicha.
Global TV kwa kushirikiana na Hash Power Films wanakuonesha baadhi ya mbinu wanazozitumia matapeli katika filamu fupi (short film) ya #NotiFeki ambayo ni sehemu ya kwanza ya filamu za uhalifu unaofanyika katika Jiji la Dar, #CrimeinDarCity.