×

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Alivyokutana na Rio Ferdinand Dodoma

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Mei 20, 2026 amefanya mazungumzo na Nahodha na Mchezaji wa zamani na wa Timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma.

Leave a Comment