×

Video: Okello Afunguka Sababu ya Kufurahia Kulinganishwa na Chama

Mchezaji wa Young Africans S.C. Allan Okello amezungumza na Global TV kuhusu watu wengi kumfananisha na Chama. Amesema:

“Napata nguvu ya kupambana ninapofananishwa naye kwa sababu ni mchezaji mwenye uzoefu mkubwa kwenye ligi ya Tanzania na anaendelea kufanya vizuri.”

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

Leave a Comment