×

Feitoto Kutocheza Mechi za Kirafiki za Stars Dhidi ya Uganda na Rwanda – Video

Nyota wa Taifa Stars na Azam FC, Feisal Salum ‘Feitoto’ atazikosa mechi za kirafiki za Stars kutokana na kuwa majeruhi.

Hayo yamesemwa na Clifford Ndimbo, Afisa Habari wa TFF wakati akizungumza na waandishi wa Habari kwenye maandalizi ya Stars inayotarajiwa kusafiri kuelekea Morocco.

Taifa Stars inatarajiwa kucheza dhidi ya Uganda Juni 5 na Rwanda Juni 9 nchini Morocco katika michezo hiyo ya kirafiki ya maandalizi.

Leave a Comment