
Kombe la Dunia 2026 limewasili na Meridianbet imeongeza msisimko kwa kuzindua kampeni kabambe ya “Mbabe wa Dunia”, ambapo mashabiki wa soka wana nafasi ya kushindania zawadi zenye thamani ya zaidi ya TZS 100,000,000.
Hii si kampeni ya kawaida ya kubashiri, bali ni safari ya ushindani inayokupa nafasi ya kupanda kileleni mwa msimamo wa washindi na kujibebea zawadi kubwa kadri mashindano yanavyoendelea.
Kila mechi ya Kombe la Dunia sasa ina maana zaidi kuliko matokeo ya uwanjani. Kwa kila tiketi halali utakayocheza, utajikusanyia pointi zitakazokuweka karibu na washiriki wengine wanaowania nafasi za juu. Kadri unavyokuwa makini kwenye utabiri wako na kushiriki mara nyingi zaidi, ndivyo nafasi yako ya kuwa miongoni mwa washindi inavyoongezeka.
Kilichoifanya kampeni hii kuwa ya kipekee ni ukubwa wa zawadi zake. Kutoka Bajaj mpya kwa mshindi wa kwanza, pikipiki za Boxer-125, televisheni za Hisense hadi simu za Samsung A26, Meridianbet imeandaa zawadi zinazostahili bingwa wa kweli. Hata washiriki watakaomaliza katika nafasi nyingine za juu watanufaika na bonasi za michezo na kasino zenye thamani kubwa.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa dau la kuanzia TZS 1,000 pekee na odds za chini za 2.50, unaweza kuanza safari yako ya kuwa Mbabe wa Dunia. Zaidi ya hapo, mfumo wa pointi za ziada kwa wadau wanaocheza zaidi unatoa fursa kubwa kwa kila mshiriki kuongeza kasi ya kupanda kwenye msimamo na kuwacha wapinzani nyuma.
Usiangalie Kombe la Dunia kama mtazamaji tu. Fanya kila mechi iwe fursa ya kushinda, kila tiketi iwe hatua ya kuelekea zawadi kubwa na kila pointi iwe silaha ya kukusogeza kileleni. Jiunge na kampeni ya Mbabe wa Dunia leo kupitia Meridianbet na uonyeshe kuwa wewe ndiye bingwa wa kweli ndani na nje ya uwanja.