
Nyasi zinaenda kuwaka leo kwenye mechi hii ya kibabe sana kati ya Australia dhidi ya Misri ambapo wote wanatafuta nafasi ya kwenda hatua ya 16 bora. Odds kubwa zinakusubiri kwenye mechi hii ingia na ubeti sasa.
Je unajua kuwa kwenye michuano hii mikubwa Duniani hatua za mitoano mechi zake huchezwa kama Fainali?. Mchezo kati ya Australia kati ya Misri utakuwa wa ushindani kwelikweli kwani kila timu itakuwa makini sana kutofanya makosa ya kuigharimu timu na kupoteza mechi.
Timu ya Australia imeonyesha kuwa ni timu inayocheza kwa ari kubwa na nidhamu ya hali ya juu. Wachezaji wake wataingia uwanjani kupambania pointi tatu kuanzia mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mchezo huku wakisadikika kuwa ni moja za wapinzani wangumu.
Huku kwa Mafarao wao, timu hiyo imekuwa ikitegemea zaidi ubora wa kiufundi, utulivu na uwezo wa kutengeneza nafasi kupitia pasi za haraka. Misri wanajua namna ya kusubiri muda sahihi kabla ya kuanzisha mashambulizi, jambo linalowafanya kuwa hatari wanapokutana na timu zinazopenda kushambulia kwa wingi.
Pesa ipo leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Australia itahitaji kushinda mapambano ya viungo ili kuzuia Misri kujenga mashambulizi kwa utulivu, huku Misri ikijaribu kutumia ubunifu wake kuvunja safu ya ulinzi ya wapinzani. Timu itakayodhibiti eneo hilo itakuwa na nafasi kubwa ya kuamua mwelekeo wa mchezo. Odds kubwa zipo mechi hii, ingia na ubeti sasa.
Kipengele kingine kitakachokuwa muhimu ni umakini wa mabeki. Australia italazimika kuzuia mashambulizi ya kushtukiza ya Misri, wakati Misri itahitaji kuwa makini dhidi ya mipira ya krosi na mipira ya adhabu, ambayo mara nyingi imekuwa chanzo cha mabao kwa Australia.
Mohamed Salah na wenzake wanauhitaji mchezo huu kwa hali na mali ili waweze kuweka historia baada ya kufanya vyema kwenye mechi za hatua ya makundi na kufanikiwa kumaliza nafasi ya pili.
Timu ya Misri ina uwezo mkubwa wa kushambulia kwa kasi wanapopata nafasi za mashambulizi ya kushtukiza. Ikiwa watafanikiwa kuhimili presha ya Australia na kucheza kwa utulivu, wana uwezo wa kuumiza wapinzani wao kwa pasi za haraka na umaliziaji mzuri. Jisajili hapa na ubashiri mechi hii.
Je kwenye mchezo huu wa leo nani ataondoka na ushindi?. Odds kubwa zipo Meridianbet hivyo ingia na usuke jamvi lako hapa.