
NAFASI YA KAZI: ACCOUNTANT
Kampuni ya Wezesha Mzawa Microfinance Limited inatangaza nafasi ya kazi kwa mhasibu mwenye sifa na uzoefu wa kujiunga na timu yake.
✅ SIFA ZA MWOMBAJI:
🔹 Awe na Shahada ya Uhasibu au Fedha.
🔹 Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka 3.
🔹 Mwenye CPA atakuwa na faida ya ziada.
📩 NAMNA YA KUTUMA MAOMBI:
Maombi yote yawasilishwe kupitia barua pepe au anuani ya posta iliyoainishwa hapa chini, yakiwa na nyaraka muhimu zilizothibitishwa.
📧 Barua pepe: wezeshа[email protected]
📍 Anuani:
Wezesha Mzawa Microfinance
S.L.P 7534, Sinza Mori, Dar es Salaam.
Global Group Building (mkabala na Wanyama Hotel).
📅 Mwisho wa kutuma maombi: Oktoba 30, 2026.
📌 Tuma maombi yako mapema kabla ya muda kuisha!
