×

Zuchu na Diamond Platnumz Watoa Wimbo Mpya “Mvua Ya Baraka”


Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu na Diamond Platnumz, wameungana katika wimbo unaoitwa “Mvua Ya Baraka”, uliotolewa kwa mfumo wa Lyric Audio.

Wimbo huo unakuja kuwapa mashabiki burudani kupitia ushirikiano wa wasanii hao wawili wanaotamba katika muziki wa Afrika Mashariki.

Leave a Comment