MALTA: Ndege moja ya abiria ya nchini Libya imeripotiwa kutekwa nyara leo Ijumaa, Desemba 23, 2016, ikiwa kwenye safari kutokea Mji wa Sabha ulioko Kusini Magharibi mwa Libya, kuelekea mjini Tripoli kabla ya kubadili uelekeo na kutua nchini Malta.
Ndege hiyo aina ya Airbus A320, mali ya Shirika la Ndege la Serikali ya Libya, Afriqiyah, ilikuwa na abiria 118 ambapo 111 ni abiria na wengine 7 ni wafanyakazi wa ndege hiyo, wakati ikitekwa huku watekaji nyara wawiili wakiripotiwa kutekeleza tukio hilo na kutishia kuilipua ndege hiyo.
The #Afriqiyah flight from #Sabha to #Tripoli has been diverted and has landed in #Malta. Security services coordinating operations.
— Joseph Muscat (@JosephMuscat_JM) December 23, 2016
Waziri Mkuu wa Malta, Joseph Muscat ameeleza kuwa, mpaka sasa takribani abiria wote wameokolewa na Kikosi Maalum cha Usalama cha nchini mwake ambapo jumla ya watu 109 wameshaachiliwa.
Hizi ni baadhi ya Tweet zake.
First 25 passengers released.
— Joseph Muscat (@JosephMuscat_JM) December 23, 2016
65 passengers released so far.
— Joseph Muscat (@JosephMuscat_JM) December 23, 2016
Further 44 passengers being released.
— Joseph Muscat (@JosephMuscat_JM) December 23, 2016
Kamanda Mpinga; Madereva Zaidi ya 280 Tayari Tumewafikisha Mahakamani
Updates: Hatimaye watu wote wameachiliwa na watekaji wamejisalimisha.
Crew members being released.
— Joseph Muscat (@JosephMuscat_JM) December 23, 2016
Potentially 2 hijackers and some crew members still on board aircraft.
— Joseph Muscat (@JosephMuscat_JM) December 23, 2016
Final crew members leaving aircraft with hijackers.
— Joseph Muscat (@JosephMuscat_JM) December 23, 2016
Hijackers surrendered, searched and taken in custody.
— Joseph Muscat (@JosephMuscat_JM) December 23, 2016
Updates
Watekaji ndege ya Libya wamedaiwa ni wafuasi wa marehemu Rais Muammar Gaddafi baada ya kupeperusha bendera yake na wanahitaji hifadhi Malta. pic.twitter.com/mIYRqzw2CD
— Global Publishers (@GlobalHabari) December 24, 2016
Comments are closed.