Mabaki Yachunguzwa Baada Ya Ajali Ya Ndege Inayohusishwa Na Kifo Cha Yevgeny Prigozhin – Picha
PICHA mpya kutoka eneo la Tver nchini Urusi, ambako wataalamu wa masuala ya dharura na polisi wanachunguza mabaki ya ndege ya kibinafsi iliyohusishwa na kufariki kwa Kiongozi wa kundi la Wagner ambaye ni mpinzani mkubwa wa Rais…