×

Zari Hajui Kuamsha Popo….

Zari the Boss Lady

AKIFANYA mahojiano katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm, Zarina Hassan, ‘Zari the Boss Lady’ sambamba na mpenzi Diamond Platnumz, Zari amesikika akimjibu mtandazaji wa kipindi hicho Mussa Hussein pale alipoulizwa kama anajua kuamsha popo.

Zari na Diamond Platnumz

“Tunataka kumsha popo, Zari unajua maana ya kuamsha popo?” aliuliza Mussa Hussein.
Zari akajibu “Kumsha popo ndio nini hicho?”
Baadaye akawa ameeleweshwa
Kuamsha popo ni kupiga muziki utakaowatoa watu katika viti na kuanza kucheza, Zari leo ameoneshwa na mtangazaji huyo jinsi ya kuamsha popo.
Aidha Zari na Diamond wapo katika maandalizi ya 40 ya mtoto wao wa pili aitwae Nillan.

Salum Milongo/GPL