×

LIVE: Serengeti Breweries Waidhamini Taifa Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania, TFF limesaini Mkataba na Kampuni ya Vinywaji ya Serengeti Breweries ambapo Kampuni hiyo itaidhamini Timu ya Taifa, Taifa Stars kwa muda wa miaka mitatu.

Mkataba huo ni wa thahani ya Tsh. 2,100,000,000.

Leave a Comment