The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Mchanga wa Madini

0

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kupokea taarifa ya kamati maalum iliyoundwa kuchunguza mchanga wa madini uliopo kwenye makontena maeneo mbalimbali nchini.

Leave A Reply