Burudani Darassa Afanya Makamuzi Ya Kihistoria Dar Live (Pichaz na Video) Last updated Jun 27, 2017 0 Share Staa wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ‘Darassa’ akifanya makamuzi Idd Mosi Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakheem jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Darassa akisalimiana na mashabiki wake kabla ya kuanza shoo. Darassa akifanya makamuzi. Mashabiki wakipagawa na ngoma mpya ya muziki (PICHA: RICHARD BUKOS/GPL) Dar LiveDARASSAMadeeMASTA WA BONGOnishushe dar liveroma mkatolikisnuraStamina 0 Share