×

Ewura Yatangaza Bei Mpya Ya Mafuta Nchini Kuanzia Julai 1

Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Ewura, Titus Kaguo akiongea na wanahabari leo.

Mamlaka ua Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo imetangaza bei kikomo za bidhaaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumiaka kuanzia Jumamosi, Tarehe 1 Julai 2017. Pamoja na kutambua bei kikomo za bidhaa mbalimbali za petroli nchi nzima, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:-

Leave a Comment