NASIBU RAMADHAN AMTWANGA YOHANE BANDA KUTOKA MALAWI
Global Publishers July 23, 2017 0 Comments
SHARE THIS:
Mtanzania, Nasibu Ramadhani ‘Pacman’ (kushoto) akiwa na mpinzani wake Yohane Banda kutoka Malawi wakizipiga kwenye Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar . Nasibu Ramadhani ‘Pacman’ (kushoto) akiendelea kumtupia makonde mazito mpinzani wake.Yohane Banda kutoka Malawi (kulia) akijitetea wakati wa mchezo.Yohane Banda akiwa chini.Refa akiongea na mabondia hao.
Nasibu Ramadhani ‘Pacman’ akiwa amebebwa baada ya kumpiga mpinzani wake .